You're telling me this telling me that Saying that you won't ever have to think twice Ukipata nafasi hupotezi wakati Saying that you won't fall back no way And all you need to show me is just one day Ukipata nafasi hivyo ushakuwa chali Juu saa zingine tunavibe and you know that's alright but I know you know we've made it through so many nights Na hiyo time inapofika you know you're the one mi nitaita Itika nikufikie na bado unirudie Mapenzi ni ya bure utaachwa usisinzie Take it nice and slow don't got lost oh no Kwa mwendo wa kasi nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi Kwa mwendo wa kasi oh nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi Na kinacho nichangaya Ni nini yeye hufanyanga na Mi bado hung'ang'ana Juu siko ready kusema kwa heri no Na kinacho nichangaya Ni nini yeye hufanyanga na Mi bado hung'ang'ana Juu siko ready kusema kwa heri Ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh Ooh ohh oh oh Kwa mwendo wa kasi nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi Kwa mwendo wa kasi oh nipe nafasi Nikuonyeshe mapenzi wa kasi Niko na penzi wa kasi