Olaa lala lala laaa (Rabit, Kaka Sungura) Olaaa lala lala lala (Sudi Boy) Olaa Sappe, haah hii ni ingine mseia Ulichotaka nilikupa, ukaniona pweke sina maana Leo unataka nini tena? Wuwuwuwuu Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sanaaa Tulikua na chemistry baby na ile videliba After bio ukawa physics Sikuelewi, hii ndo inaitwa love stories Something out of a movie kama new rings za Rubi Nlibuy zile za blueish kama ni plaka ya ujuzi Ilikua perfect nli overdo Mabeste wake walishika nare Wengine ata walilose juu sijai mslap kaa Lucy Love yangu Ilikua ya ujuzi Hakuna mbrrrcha kaa Mbusi,until hivi majuzi Nilipoanza tu wakanda orutu ya masudi Nilitaka awe na life poa After four months kaldina to four bedrooms Mmmh aletewe car shoes na dress ya dinner Akaanza ku act funny kama episode ya Churchill Anakaa tuu (ndeee) na pia aliquit kazi Aniletea tu (stress) kila saa ni mahitaji Nikapata text inasemaa (I love you uko beutiful) Na yake inasemaa (I love you too) Ulichotaka nilikupa,ukaniona pweke sina maana Leo unataka nini tena? Wuwuwuwuu Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana aaah Ambia mathako aache kunipigia kina Patricia pia Si uwaambie kile ulifanya ama bado hujawaambia? Na regret kukupenda na ujue uliwaste time yangu Sidhani kaa una roho, nakaa uko nayo ni chafu (ni chafu) Ile frame ulibuy Maasai market nlivunja nikaichoma Ile dinner dress, viatu vitu ulitreasure vinoma Anajitetea nliacha kumpenda, nikapenda doo (ati doo) Sikutaka akuwe beggar, tulidiscuss before Naye aka decide kunicheza (kaa samo eletro) Nilidhania una class, urembo ukuja na standards Kumbe ye si smart (si smart) Petty cheap kaa pamba umenifika apa Wapi? (Apaa) vuta izo crocodile tears Si ulijifanya mamba, umenifika apa Wapi? (apaa) ndakupa izo vitu za nyumba Lakini moja itakua ngumu, gari enda nayo Lakini roho yangu nitampa Mungu Ulichotaka nilikupa ukaniona pweke sina maana Leo unataka nini tena? Wuwuwuwuu Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana eeeeh Uleleleleleeee umenifika apa wapi? (Apa) Uleleleleeeee unifika apa wapi? (Apa) Ulele eeh ulele eeh umeniika apa wapi? (Apa) Ulele eeh ulele eeh umenifika apa wapi? (Apa) Ulelelelele leee, ulelelelele leee Ule ulehe, ule uleee Umetufikia wapi? Umetufikia Umetufikia wapi? Wapi? Wapi? Umetufikia wapi? (Apa) Umetufikia wapi? (Apaa) Umetufikia, wapi? Fikia, wapi eeh Ulichotaka nilikupa ukaniona pweke sina maana Leo unataka nini tena? Wuwuwuwuu Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana Ungejua navyo kuchukia (kuchukia) Kuchukia (kuchukia) kuchukia sana eeeh