Kishore Kumar Hits

Kontawa - Kitu Kizito şarkı sözleri

Sanatçı: Kontawa

albüm: Kitu Kizito


Kitu Kizito! Kitu Kizito!
Kitu Kizito! Kitu Kizito!
Show kali haiendi Bila stimu
Nivutie mneli tungi upandwe mzimu
Mwili wangu leo ugeuze gym
Nikazie pushup baba twanga kinu
Angusha baba baba Kitu kizito!
Ya moto moto leta Kitu kizito!
Kushoto kulia kata Kitu kizito!
Aiyayaiyaaa Kitu kizito!
Midadi ishanipanda baba
Angusha unapotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
Aah! Misamba baba nakupigia yoga
Unyevu wa kumwagilia mboga
Sukari ya Bi. Zuchu inangoja
Yangu ina tv fanya unga tu decoder
Nikunje baba jinafasi
Nipige roba amba kati
Ukisikia milio baba ongeza kasi
Niite majirani waulize msiba wapi?
Angusha ba ba ba ba Kitu kizito!
Ya moto moto leta Kitu kizo!
Kushoto kulia kata Kitu kizito!
Aiyayaiyaaa Kitu kizito!
Midadi ishanipanda baba
Angusha unakotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
Mama mama mama mama niko vizuri
Kwanza sifiki killeni maana sina nauli
Si unaniju vizuri nikilianzisha shughuli
Ukifa kifo cha mende mi nakuchimbia kaburi
Asa we Mamacita punguzaga kunitega
Maana huku chini Nna kichwa hakina mabega
Nasikia uteja Mama naskia uteja
Leo Nna Kitu Kizito vipi utaweza kubeba?
Nikunje baba jinafasi
Nipige roba amba kati
Ukisikia milio baba ongeza kasi
Niite majirani waulize msiba wapi?
Angusha baba Kitu kizito!
Ya moto moto leta Kitu kizo!
Kushoto kulia kata Kitu kizito!
Aiyayaiyaaa Kitu kizito!
Midadi ishanipanda baba
Angusha unakotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar