Kishore Kumar Hits

Kontawa - Sikuachi şarkı sözleri

Sanatçı: Kontawa

albüm: Sikuachi


Kabla sijaswitch life na kupindua meza
Kipindi nauza mtumba
Na nguo kariakoo magereza
Yaani kipindi sina good life
Hukuwahi kunibeza
Eeeh ulinambia nitafute
Sana pesa kama vile mimi
Ndo nimepoteza
Chumba kimoja cha kupanga
Kuna doti moja tu ya kanga
Kuna kipindi nilisanda
Mpaka nikatamani
Nikupeleke kudanga
Baby Maisha tuliyoishi
Tusingetoboa bila ubishi
Nlivyohustle sikufichi
Ata nikinunua ugomvi
Nilikuwa nadai risiti
Tumetoboa Tumetoboa
Tumetoboa kwao Tumetoboa
Amini kwamba Tumetoboa
Tumetoboa Tumetoboa
Tumetoboa kwao Tumetoboa
Amini kwamba Tumetoboa
Sikuachi mpaka milele
Mungu ametuona leo
Tuna mapene piga kazi
Weee songa mbele
Mungu Ametuona leo zamu ya
Mi na weee
Najua haya maisha bila mwiko
Huwezi ukasonga mbele
Hata kama hupendi watu
Lazima utafute mchele
Waliotusema vibaya
Wanatuonea gere
Sisi tunafuga ng'ombe wao wanafuga
Nnywele
Baby kipindi sina pesa uliposikia
Njaa uliziba masikio leo nimepata pesa
Nianze kukukataa staki laana kama hiyo
Ukitaja watu wasiocheat
Me na we tumebakia
Haupendi pombe lakini una mguu wa bia
Embu sema unachotaka mi ntakufanyia
Hata usipoona siku zako mi ntakutafutia
Tumetoboa Tumetoboa
Tumetoboa kwao Tumetoboa
Amini kwamba Tumetoboa
Tumetoboa Tumetoboa
Tumetoboa kwao Tumetoboa
Amini kwamba Tumetoboa
Sikuachi mpaka milele
Mungu ametuona leo
Tuna mapene piga kazi
Weee songa mbele
Mungu Ametuona leo zamu ya
Mi na weee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar