Kishore Kumar Hits

Kayumba - Kamwambie şarkı sözleri

Sanatçı: Kayumba

albüm: Kamwambie


Muulize anataka nini?
Nimwombe Mungu wangu ampatie
Mimi hoi masikini
Hali yangu mwenzangu na mie
Ningekuwa na uwezo
Ningempa dunia amiliki
Eeh ajue nampenda
Penzi pembe la ng'ombe halifichiki
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamanio
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamani oo
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
Akisema hanitaki nahisi itapulizwa parapanda
Mwisho mwisho wa dunia, maisha inashuka na inapanda
Akisema hanitaki nahisi itapulizwa parapanda
Mwisho mwisho wa dunia, maisha inashuka na inapanda
Sikiliza na uende ukamwambie
Moyo wangu wa mtumba chonda asinusie
Fundi geneza lisinifukie
Mapenzi yanauma asisikie
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamanio
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamani oo
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
(Mafia)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar