Asubuhi kumepambazuka wa ubavu sikuoni Nishazoea tunaamka Wawili majirani twawatazamaje usoni Naanza kusali naomba kwa rabuka hiki kipengele siponi Nisije baki kiwiliwili inamaana niliyofanya yote huyaoni Kipi nimetenda kibaya au kukupenda nimefanya vibaya Eti na nguo sizioni umefungasha vilago vyote umefungafunga Umeniacha kwa ubaya ila sina budi kukupa retire Yan niwe wa vichochoroni anapita mbele sindano nimedungadunga Hivi kweli Dari imenipa maumivu mpaka Oooh Dari mwili utakonda nitachakaa Ghafla nakumbuka mbali umekosa uvumilivu Hadaa Au penzi lako ghari mimi sina chambi ndo umenikataa Mwenzako roho roho inaniuma Iweje mzigo mzito unitwishe Roho bado inaniuma Ooh ooh mama roho bado inaniuma Sili silali mebaki mwenyewe roho bado inaniuma hiiii