Ukweli mama unauficha tena unaniruka kando nisijitete Ajali kila kukicha ex wako ananitoka mafumbo ili unipotee Kweli mnatumiana picha tena nakuunganisha bando ili mnitete Ndo mana havikauki visa au labda unirudishe jando nikajitete Aah! Kumbe kimya kimya anachachua mana unavyomsifiaga kwa Insta Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita Umenizima umenibidua sidhani kama nimehakunjaga ndita Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga Hakura marefu yasiyo na Mwisho! Mwisho! Lolooh aaah Yani Bora tufanye iwe Mwisho! Mwisho! Tusiendelee Aaah Basi nimeshindwa mie Mwisho! Mwisho! Yani ni bora iwe Mwisho Mwisho! Misho! Mwiiiiiiih ♪ Maumivu.! Moyo wangu una maumivu uuh Vidonda aaa aah! Mwili umepatwa na uvivu penzi limegeuka majivu uuh! Nahisi kukonda aaa aah yeye eeh! Aaah.! Eti tufe tuzikwe wote yani hukudhamiria chochote Nafsi umeikatili katili acha tu nikukimbie eeh! Nakuridhisha ma nakupa vyote kweli nahudumia cha wote Basi we batili batili picha zisinirudie eeh! Oooh baby! Aah! Kumbe kimya kimya anachachua mana unavyomsifiaga kwa Insta Unaniona kima unajichetua eti nilikulazimishaga unapita Umenizima umenibidua sidhani kama nimehakunjaga ndita Nishakupima nimekugundua na hili nishalipigaga Hakura marefu yasiyo na Mwisho! Mwisho! Lolooh aaah Yani Bora tufanye iwe Mwisho! Mwisho! Tusiendelee Aaah Basi nimeshindwa mie Mwisho! Mwisho! Yani ni bora iwe Mwisho Mwisho! Misho! Mwiiiiiiih