(You light it up!) Naomba nafasi mi nicheze na we Njoo karibu, usinicheki toka mbali Hatujuani, but tonight you could be my bae Songa nami, hii form imekubali Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako, ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako, ana kwa ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Napenda unavyong'aa kama taa, hapa we ndio star You've got me feeling things that I can't explain Tu vitu, Ma vitu I think I'm falling for you just a little Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako, ana kwa ana Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana Usiogope nipe macho yako, ana kwa ana Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena Vunja mifupa, kaza mshipi na tuzikwende Tukizunguka, kaende, kaende Teremka, kata kiuno jionyeshe Inuka, Inuka Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Tutacheza hata kama hatuna pesa Ngoma zalia na mi nataka kucheza Kucha kutwa, nishazoea kesha Sakata Rhumba, achilia pressure Hatujui kama tutaonana tena