Nihurumie Siku na miaka zapita na sijafika kule Nilitarajia niwe maishani Ndoto zangu zimekwamia njiani Dunia Nihurumie Siku na miaka zapita na sijafika kule Nilitarajia niwe maishani Ndoto zangu zimekwamia gizani Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie Ujana Ujana ni moshi Kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi Ningepaswa niwe na mke nyumbani Ila mali ya kulipia mahari siwezi Ujana Ujana ni moshi Kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi Ningepaswa niwe na mke nyumbani Ila mali ya kulipia mahari siwezi Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie Mama Nisamehe mama Mimi si yule uliyedhani atalea mwana Ulitarajia niwe mke nyumbani Lakini mambo yamebadilika duniani Mama Nisamehe mama Mimi si yule uliyedhani atalea mwana Ulitarajia niwe mke nyumbani Lakini mambo yamebadilika duniani Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie Nihurumie Siku na miaka zapita Na sijafika kule Nihurumie