Kishore Kumar Hits

Belle 9 - Shauri Zao şarkı sözleri

Sanatçı: Belle 9

albüm: We Dada


We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo mioyo inapaa
We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo unawakataa
Malaika wa furaha
Amenishukia ndani
Ameomba nikuimbie leo
Malaika wa furaha
Amenishukia ndani
Ameomba nikusifie mrembo
We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo mioyo inapaa
We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo unawakataa
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Mi love love you till I die
Kiss hadharani baby mi sioni nishai
Mi love love you till I die
Kiss hadharani honey mi sioni nishai
Acha waende smoking room
I smoke your love
Kipindi wanadiss mapenzi magumu
Unanipa raha
Acha waende smoking room
I smoke your love
Kipindi wanadiss mapenzi magumu
Unanipa raha
We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo mioyo inapaa
We ni zaidi ya wimbo
Wacha nikuimbe, wacha nivimbe nani anakataa?
Lips maringo, macho na shingo
Na zao bingo unawakataa
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao
Hata waongee, shauri zao
Maneno hayavunji mfupa, shauri zao

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar