Utaweza kuniangalia? Wakati hakuna chochote kilichobakia. Je utaweza kunitambua? Wakati hakuna yoyote anaenijua. Nyakati za mashaka hizi, nakukosa imani ni rahisi×4 wakati kila ahadi yaweza vunjwa kirahisi, nahisi kila mtu anabidi ya kujilinda hofu wanahisi. Kuna uongo balaa na kukata tamaa ni rahisi sana siku hizi. Nataka kuamini ila naomba nipe ishara najua hakuna qurrantees. Katika nyakati hizi. Ila nitaamini ukimipa ishara nabii×2