Yeah (aah) how curios i wanna know, yoh (ah) yoh Au labda hunipendi ndo sababu unanitema Hupendi nnavyoatendi alfajiri na mapema Unaniacha stendi njia panda nipo Dillema Kutwa spend weekend haijakaa njema Au kisa silipuki daily mitumba midosho Ukiniona huzuzuki sanasana unaona michosho Au bling bling sinyuki sina mvuto sitoki smart Sio mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati Au sikuvutii, ndo maana hunipi uthamani Kioja ndani ya jamii na kwanza hatuendani Pia hujisikii kuwa na kapuku kama mimi Ambaye mswaki situmii sina hadhi ya kunyonya ndimi Au mpaka mambumba ndo malenzi yashamiri Hata swala la unyumba mpaka kwa muda ufikiri Au umepata mchumba mjanja tena tajiri Sio mimi katumba mla nganja nisiye na dili Au sijui mhaba kitandani sikuridhishi Sikuombi nakaba tendo la ndoa kwa ubishi Siwezi kubembeleza kiupole ama sibisi Au sijui kuchombeza kilelen sikufikishi