Nikki mbishi the play boy Haha Kama leo namcall kwa date ya usiku wa kesho Before the hard seven tuifanye iwe siku special Usiku ukapita kwa vita dhidi ya usingizi Na ndoto zisizokwisha natishwa na jinamizi Masaa yakogea nkiwaza jinsi ya kutoka Peke angu gheto naongea nna suti na pair za moka, Nadress, nafunga mlango natoka naingia mpaka