Kishore Kumar Hits

Marlaw - Pamoja şarkı sözleri

Sanatçı: Marlaw

albüm: Pamoja


Si We Mwenyeweee...
Pamojaaa ndo Jibuuu.
Marlaw (Niachee)
Fundi Samweli (Niachee)
Jahman records (Niachee)
Pamojaaaa...
Eeeh Peke yakoo, au Kuwa nayeee
Kutomwoona,, au kuwa na Kiu nae
Lakiini Upuuz,, ni bora upweeeke
Haaa,,, Pakiwapo na Game nae, Utashindana au kuwa team nae
Sitaaki,, Nenda uniachee Mwenyewee
Pamooja,, ipo Baina Yetuu, Kubali kuipokea na Tuijueee
Bora Pekee
Bora pekee
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Toofautisha,, hivi sawaa,, kuwa Mpwekee au Pamojaaa?
Bora Pekee
Bora pekee
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Baadae utakuja uijue maana ya kuwa, Pamoja haukamiliki mwenyewee
Aaaah
Peke yakoo una Hasiraa
Nakufata inavyokutuma
Lakini badoo nawazaaa
Aaah,, peke yakoo una gizaaa
Hauko kwenye Taa walipo wenzioo
Kama una jibuuu, nipatieee
Pamojaa ipo baina yetuu,,,
Ni bora kuipokea na Utaijuaaa
Bora Pekee (Hapanaa)
Bora pekee (Pamojaa)
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Toofautisha,, hivi sawaa(Sitaki niachee)
Kuwa Mpwekee(Nononoo) au Pamojaaa?(Mi Peke yanguu)
Bora Pekee (Hapanaa)
Bora pekee (Pamojaa)
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Baadae utakuja uijue maana ya kuwa(sitaki niachwe),
Pamoja(nononoo) haukamiliki mwenyewee (mi peke yanguu)
Bora Pekee (Hapanaa)
Bora pekee (Pamojaa)
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Toofautisha,, hivi sawaa(Sitaki niachee)
Kuwa Mpwekee(Nononoo) au Pamojaaa?(Mi Peke yanguu)
Bora Pekee (Hapanaa)
Bora pekee (Pamojaa)
Bora Pekee Yangu na Mwenyewee
Baadae utakuja uijue maana ya kuwa(sitaki niachwe),
Pamoja(nononoo) haukamiliki mwenyewee (mi peke yanguu)
Pamooja
Pamooja
(End)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar