Kishore Kumar Hits

Guardian Angel - Mungu Mwaminifu şarkı sözleri

Sanatçı: Guardian Angel

albüm: Mungu Mwaminifu


Oooh ooh ooh
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Wewe sio mwanadamu
Eti useme uongo
Au mwana wa mwanadamu
Ubadilishe mawazo
Ukisema jambo baba ah
Unatenda ah
Oooh Yahweh eeh
Nakuabudu
Nakuinua
Kwa uaminifu wako oh
Kwa uaminifu wako
Ahadi zako za milele ooh ooh oh
Yahweh Yahweh babaa
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Oh nilidhani yamekwisha
Mambo ya muziki niwachane nayo
Ukanipa fursa tena aah
Niimbe watu wako wakuone
Nimeona wema wako
Mkono wako umenihifadhi baba eh
Eeh Yahweh wewe ni Mungu mwaminifu
Mwisho mwisho wa mawazo yangu ndio mwanzo wa yako
Ninapodhani nimemaliza ndio we unaanza
Ulingoja Lazaro afe ndio ukatokea
Ukamwita Lazaro toka sasa eeh
Eeei
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Wazazi wanaweza kuniwacha aah
Wewe ni mwaminifu
Ooh watoto wanaweza kugeuka baba
Wewe ni mwaminifu
Misingi ya dunia ikitingisika
Wewe ni mwaminifu
Ninao wapenda wakinitenga
Wewe ni mwaminifu
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe
Eeh Yahweh
Eeh Yahweh
Wewe ni Mungu mwaminifu
Hubadiliki kamwe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar