Pendo langu Nizaidi ya sadaka my baby Moyowangu hauna sababu yakuondoka Baby Sitaki kukaa pembeni Maa mkononi Mwangu uko salama Mtaji wa penzi sio pesa ila Nifuraha ya kweli na kheriii Lengo langu si lambaliii You know the time Pumzi yangu usiende mbaliii I don't want die Baby you don't know Thamani ya pete kidoleni mwako Ilaa chochote amuaaa It's allright Kama pete yangu inakuchoma kidoleni Kama pendo langu linakuchoma moyoni Bora kuitoa aaah Pendo kulivuaaa Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke Bora kuitoa aah, pendo kulivuaa Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke ♪ Sikujali wambea wanafki walosema Hatutadumu mimi nawe tutajaachana Wakinioona siko nawe sindo watasema Hata nyumbani watajua tumefarakana Nikiwaza kwenda mbali moyoni nahofia Mana bado nakujali kwako nilishatua Nikiwaza kwenda mbali moyoni nohofia Mana bado nakujali kwako nilishatua Kila jema ntendalo iyeeh Kwako limekua sio iyeeh Nitakapo kujua ulipo iyeeh Wanijibu utakavyo iyeeh Pete kidoleni mwako Yanisuta mwenzio Mana nikukosapo Moyo wanienda mbio oooh Kama pete yangu inakuchoma kidole Kama pendo langu linakuchoma moyoni Bora kuitoa aah pendo kulivua aah Bora kuitoa aah Moyoni mwangu me nisiteseke Bora kuitoa Pendo kulivua aaah Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke