Jua likichomozo mambo yangu hayaendi Na likizama ndo hivyo hivyo Nami kukaba siwezi Shida zimezidi nauona mlango wa kaburi Naipunguza speed huku naisoma zaburi Malaika afungue kufuli Adhuhuri kinga bakuli Bado kidogo atustiri kwenye kivuli Mwezimungu si alituumba kwa mfano wake Hivyo basi na sisi tunaomba kila mmoja na hatma yake Tuondokane na hizi kasumba za ooh mi nimetoka kayumba Shikilia ulipo shika humchango ndo chanzo cha maarifa Maamuzi yanahitajika Uvumilivu unahitajika Pasikua kujikwamua Kesho haito badilika (bado kidogo) Kunamuda mambo yanashindwa kwenda Kuna muda mwanga huoni ni giza Kuna muda aah aah unashindwa (usikate tamaa) Uko hapa kwa sababu baba hataki upate taabu Uko hapa kwa sababu uuuh uhhh bado kidogo Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Usife moyo (bado kidogo) I know it's painful watu wanapokuita failure Pain all the way ndoto flani umecarier Maneno vikwazo na chuki Watasema hamnazo mnanuksi Umekosa karo ya swhule unashindwa utamlilia nani we Umekosa hata chakula unashindwa utamuomba nani But ngoja kidogo (Usivunje moyo, bado kidogo) Ukishajua nini unataka nini chahitajika ukipate Kamilisha mahitaji kisha kifuate Nakughairisha kisa hupati sapport Nikujificha na kuuliza giza iko wapi ile tochi Bado najipa moyo kutoka moyoni The time is coming Nifanye kazi kwa bidii na nisubiri kidogo Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Ooh bado kidogo (bado kidogo) Usife moyo (bado kidogo) Ooh bado kidogo Hey bado kidogo Hey bado kidogo Bado kidogo Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (yakupasa upige moyo konde) Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (Usikate tamaa ohh bado kidogo bado kidogo) Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (You are almost there you are almost there) Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (Usirudi nyuma eeeh) Ooh bado kidogo (Bado kidogo) (eeeh) Ooh bado kidogo (bado kidogo) (uuuuh) Usife moyo (bado kidogo) (you are almost there)