Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa Kipaji mali yako, elimu ngao yako Usiache jambo kati kwenye maisha yako Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray Mi nakuasa it's your time Huwezi kuwa chini you've got somethin' special Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto Trust me iko siku utatimiza ndoto yako You can be a Boss, you can be a lawyer You can be the President You'll be successful Wakati wako ndio leo (leo) Kutimiza malengo yako Nakusihi Anza sasa (sasa) Jishughulishe utapata Wakati wako ndio leo (leo) Kutimiza malengo yako Nakusihi anza sasa (sasa) Jishughulishe utapata Utavunja vunja miamba, hamisha milima Vikwazo lazima nawe usirudi nyuma You'll be a hero, you can be the best You can be a leader (dedicate yourself) Tanzania ni yako, penda watu wako Kuwa mfano bora kwenye jamii yako Star Kama AY, kufika alipo FA Inawezekana if you work hard in it Na utafika mbali utazame ulikotoka Mbunifu mwenye hadhi kama Hadija Mwanamboka Unaweza kuwa rubani, unaweza hakimu Unataka kuwa Salama, unaweza kuwa Hasheem Wakati wako ndio leo (leo) Kutimiza malengo yako Nakusihi Anza sasa (sasa) Jishughulishe utapata Wakati wako ndio leo (leo) Kutimiza malengo yako Nakusihi Anza sasa (sasa) Jishughulishe utapata You can be a champion (Jikubali) You can be a teacher (Jikubali) You can be a leader (Jikubali) You can be a Preacher (Jikubali) You can be a champion (Jikubali) You can be a teacher (Jikubali) You can be a leader (Jikubali) You can be a Preacher (Jikubali)