Afro afro Mtoto wa kisagana mama Salamuu zangu nakutumia Popote ulipo zipokee Nisalimie ndugu na wazazi wako mamaa popote walipo Afro Mimi sijambo mawazo tele moyoni hii Mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasiii Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho ulinihaidi Afroo Tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni Tungeonana mapema aa bibie mbona sikuoni Afro mamayee iyoo Mtoto wa saganaehh eh Kaaa ukumbukeeeh, penzi geukaa ah Leo kwangu kesho kwakoo Utanikumbuka ah Afro mamaeeh iyoo Mtoto wa saganaaae eh Kaka ukumbukeeh eh Mpenzi geukaa ah Leo kwangu kesho kwako mamaeeh Utanikumbukaeeh eh Wasalimie ndugu na wazazi wako mama popote walipo Afro Mimi sijambo mawazo tele moyoni Mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasi Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho ulinihaidi Afroo Tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni Tungeonana mapema aa bibie mbona sikuoni Afro mamayee iyoo Mtoto wa saganaehh eh Kaaa ukumbukeeeh, mpenzi geukaa ah Leo kwangu kesho kwakoo mamaeh Utanikumbuka ah Afro mamaeeh iyoo Mtoto wa saganaaae eh Kaa ukumbukeeh eh Mpenzi geukaa ah Leo kwangu kesho kwako mamaeeh Utanikumbukaeeh eh Afro lakini nyaga saganaeh ehhh Usiniweke pembeni mamaah ah Ingawa wako wengi wazuri mamii Lakini nimekuchagua wewe ehhh Tabia zako sawa na sura yakoooo Nimeridhika kuwa na wewe ehh Tabia yako sawa na sura yakoo Nimeridhika kuwa na weweee ehh Sagana unipeleke mama aahh Nikawaone wazazi wakooo ohh Na tz pia zifike mamiii Ukawaone baba na mama ahhh Mengine mengi sisemi mama ahhh Uamuzi nakuachia wewe ehh Mwisho nakuombea salamaaa ahh Mpaka siku tutapooana ahh Afro mamayee iyoo Mtoto wa saganaehh eh Kaaa ukumbukeeeh, penzi ugeukaa ah Leo kwangu kesho kwakoo mamaeh Utanikumbukaeeh ehh Afro mamaeeh iyoo Mtoto wa saganaaae eh Kaaa ukumbukeeh eh, penzi ugeukaa ah Leo kwangu kesho kwako mamaeeh Utanikumbukaeeh eh