Maisha yangu mi' 'Meshafanya vingi na kukutana na wengi Kama warembo nao Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Nikikupata, milele nitafurahi Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai Nikikupata, milele nitafurahi Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi Wawili kuaminiana Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi Mi' na we' tukipendana Na mi' ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi) Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai) Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi) Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (hadi mwisho wa uhai) Maisha yangu mi' 'Meshafanya vingi na kukutana na wengi Kama warembo nao Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Uzuri sio sura ma' Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi) Nitaimba nakupenda (nakupenda), hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai) Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi) Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)