Mmmh mmmh (Mr LG)... haaa... Mi staki tuongee Moyoni nina machungu machungu Sije tenda dhambi mmh Ila chozi la mnyonge Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu Bora nihame kambi mmmh Kama subira ina mwisho Ina mwisho wake maana Asali umeimaliza mzinga Ukanifanya tahira Suluhisho nimeona kwako hamna Moyo wangu si wa mninga Najitoa Tunangombana kwa vitu vidogo Kosa si kosa unageuka mbogo Huna dogo wewe Hunipendi unang'onga kisogo Punda siendi eti bila magongo Mpenda zogo wewe
Kukupenda tena staki! Nimekoma staki! Kukuona staki! Narudia tena staki! Kukuona staki! Nimekoma staki! Bora nihesabu Kwa penzi nimepata Hasara aah (oh hasara) Hasara aah Hasara, hasara Hasara ya roho Penzi imekwenda zake Hasara aah (hasara ni) Hasara aah (hasara ni) Hasara, hasara Kina cha maji matitu Kanacha bila boya nijifie Kosa langu nini? Mchana nauona ka usiku Nachacha nyie maumivu niyasikie Yasiwakuteni iiih Na kama albadiri Ya bayana umeniumbua Umeniadhiri Umeniacha mnyama na nguo umenivua Kukupenda tena staki! Nimekoma staki! Kukuona staki! Narudia tena staki! Kukuona staki! Nimekoma staki! Heee! Bora nihesabu tu Kama nimepata Hasara aah (oh hasara) Hasara aah (hii hasara) Hasara, hasara Hasara ya roho Penzi imekwenda zake Hasara aah (hasara ni) Hasara aah (hasara ni) Hasara, hasara (Ka mix Lizer) Haa, haa, haa... ♪ Bora mi nibaki nalia Haa, haa, haa... No no nono noo Mmmh