Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama Mimi na wewe hadi milele Komesha wachokozi wabaki kututazama Tuwatoe jasho la nywele Haa nimesikia habari Eti kuna mtu twamkera Oooh mwana akae tayari Maana bado movie hili trailer Na usiku nikumbate (ni tete te) Ooh my babe boo (ni tete te) Kwa ghetto ning'ate ng'ate (ni tete te) You know I love you Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te) Silaha rungu (ni tete te) Kwenye joto nipepee (ni tete te) Mwendani wangu Penzi letu kwao fire Na litawachoma sana Mmmh! Litawauma Na litawachoma sana Eh kwa roho mbaya zenu Na litawachoma sana Oooh na hatuwachani Na litawachoma sana Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi Huba si sabuni Kwangu usiwe na wasi Nishaacha uhuni Ada! Kama moyo jiko basi We ndo wangu kuni Mapenzi soccer Nipe pasi nitie nyavuni Tena wasikutishe Kwa jumbe zao za kata (kata) Mi ndio kamati kuu Hapa jimbo umepata (pata) Mahaba ni tashtiti Na baby unayajua Siwezi fanya ya Shishi Uchebe kukubutua Waambie na ibilisi Watu wanajisumbua Ufupa kashindwa fisi Wao paka utawaua Dodo dodo Nimeokota dodo na mjani wake Nimeokota dodo Litayemkera ni shauri zake Simba nimelipata dodo Nimeokota dodo na mjani wake Oh mi mwenzenu toro Litayemkera ni shauri zake Na litawachoma Na litawachoma sana Mmmh! Litawauma Na litawachoma sana Eh kwa roho mbaya zenu Na litawachoma sana Oooh na hatuwachani Na litawachoma sana Asa baby nichezeshe ngondo Ngondo, ngondo ingwango! Ah tulicheze ngondo Ngondo, ngondo ingwango! Eh timbwili timbwili tutimbwilike Ngondo, ngondo ingwango! Oooh mpaka kupambazuke Ngondo, ngondo ingwango! Ai ngondo! (Ayolizer) Wasafi