Kishore Kumar Hits

Zuchu - Kazi Iendelee şarkı sözleri

Sanatçı: Zuchu

albüm: Kazi Iendelee


(Mocco)
Paukwa pakawa leo nina hadithi
Nataka kusimulia, nataka kusimulia
Ilikuwa sawa, kumbe kuzaliwa binti
Leo mi najivunia, leo mi najivunia
Alianza umakamu
Ni kubwa yake nidhamu
Katiba ikamlazimu
Kuingia madarakani
Jina lake (hamba)
Samia Hassan Suluhu (hamba)
Ndo Rais wangu (hamba)
Ndo Rais wa Tanzania (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Kazi iendelee
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Kazi iendelee, eh eh eh eh
Ewe Mola
Wakimtoa imani mpe nguvu na ujasiri
Mkumbushe yeye nani?
Yeye ni mama kamili
Harambee harambee, mama tumpambe
Anaweza mama, anaweza sana
Jina lake (hamba)
Samia Hassan Suluhu (hamba)
Ndo Rais wangu (hamba)
Ndo Rais wa Tanzania (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Kazi iendelee
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Aiyolela (hamba)
Kazi iendelee

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar