Nana na naaa Naa nana naaa na Naa nana naa na Naa naa nana Oooooooh ooooooh Oooooooh ooooooh Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa Wallahi kanipatia, anastahili sifa Chumba kizima chanukia, uturi najifisha Vidole asimamia, ukingoni nafikishwa Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu Ye ndo kocha, ananifunza kucheza rafu Anijua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafuu Nikichoka ananikanda kwa mabarafu Maajab maajab, penzi lake la ajaab Maajab maajab, mahaba yake ya ajaab Maajab maajab, penzi lake la ajaab Maajab maajab, mahaba yake ya ajaab Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua Anilambaa Kitandani humwaga maua Vingine hata chembe hakuwa anajua Namtoa ushamba, mmh eeeh Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh Ah kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh Libandikee, penzi kama gazeti walisomee Tuwa adabishe, sangara shombo vibetwe tuwang'oe Ni kila nilishe, chapati za alizeti, ni none Tuwafungishe midomo uzi cement uwashonee Ananikosha mwili kwa maji ya madafu Ye ndo kocha, ananifunza kucheza rafu Anijua tumbo la ngiri kwa mafuta ya karaafu Nikichoka, ananikanda kwa mabarafu Haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii Haluwa haluwa, kinyama cha hamu uhondo utosiini Haluwa haluwa, sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi Haluwa haluwa, napewa hadi vya mwiko sahani ntake nini? Oooooh oòoooh ooooooh