We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia Baby nakupenda ndio sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (yaani kasi) Usinipe wasiwasi nighaasi ila ukinitenda sio Nakutaka wewe tu baby boo haya Nidanganye tuu uwe true lier Ila ni vbaya ukinitupa kwenye fire Nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi Sihitaji ukweli baby pliiz Sitanuna hata nikikufuma na KGT Niambie kaka yako tu basi Love linanipa stimu kama nyasi Japo nipo fit kama nyati Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia Hekima na busara zishakumba fikra zangu Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu Uje unikombate upokee zawadi zangu Kiss sio lazima danganya mashavu yangu Eeh ukweli unauma na nikijua moyo itauma Fanya siri kama unaiba mali ya umma Na nikistuka nidanganye danganye tu kiaina Kwako nmefeel aas me mpofu Nimezama kwenye hiki kina kirefu Nmetokea Tanga na haya mahaba usinichukie Nataka unikosehe mamushika nijickie Njoo nidanganye mpaka wanangu waniaminie Kama unanimis njoo maskani uniulizie Japo wajanja wanakata tu dau Kukubali sio mbaya ila usinisahau Niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharauu Niigizie angalau ingawa nyuma ya pazia madharauu We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Hata nikikukuta chumbani umekombatiwa We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Si unajua kwako sijiwezi me siwezi ntalia