Ehe ee Eebwana Mibwana mezaliwa kusema minasema ukishindwa kutafsiri we Relax labda utanielewa Mwakani for now mama rudia anawatoto wawili Wapili anaitwa tena nambieni sa wakwanza ataitwa Nani... Pozi kumpoza chozi kumrenga yani naamua kumposa yule mloamua kumpenda So kijua ndo hiki usipoanika unautwanga mbichi Karibu tule ila nenda kanawe Coco beach Sor umenikuta leo na Bad mood ila zege halilali hii habari iende Mbali mpka Harwood afu niko serious sicheki na Kima hawaniambii kitu Kwanza wakisikia kuhusu mimi tu unawaaharibia Siku we usiniharibie Wasifu Pumbavu hamjui kuchana hamjui Kushona washamba kuongea hamchoki enough Am the first and only kipenzi cha hii rap Mwanza Mwanza nawachia injury Kwa hii rafu msodoki for Hip Hop Stay on your length my mama Nikiumia anafeel the same pain am a hustler Ukicompare galasa mie simo wote navua nguo nusu Mara kitako Mara kimo afu napita msata mpka chamwino Sio kila beki ni tatu Ila kila snitch ni chatu So kila match ni tafu Sio kila pesa madafu Mi akili zangu nichafu Afu pili mi mtu WA... Ehe Natia huruma usicheze nami Msukuma Rudini kwa alowatuma kabla sijawapitia Kwa. Mnachekesha nyie I know mi naweza nikakupaka machupa Kwa mgongo wa futa Naukanyaga tu waya kinanuka Let me say don't ever let your Dream disappear nilivo haina Tofauti na mnavonisikia kwanza ukiniwaza unasinzia msodoki the son Kill yourself If any ma God is fine God's plan Kikubwa pumzi siku hazifanani Kama Mungu kapanga asanyie akina nanii Iyo hatakwetu wapo mlipo wapo hawacheki nawe ila we ndo unacheka nao Hapo usipotumia uwezo wako kuitimiza ndoto Yako ndo wanatumia uwezo wako kutimiza ndoto zao You see Kuingizana mkenge ndo wanadamu Vile riziki mungu ambavyo anatoa anagawa Zamu ngoja kwanza Adamu Nijitanue ndo Hawa a come wangejua kua sijisumbui wangetoa jamu Sometimes yani nikusahau walokusahau shobo zakumix Mrenda kwa pilau Mwisho inakua jau kwa tulipotoka nahapa tulipo angalau Na day after day tunapanda dau wanabaki too much sadness Toka beijing so make sure your heart is blinking waiting Enya Maisha mafupi tu selebrete watu Hawamini eti kua mimi napesa tuna date Ee bwana Yani huwezi nyimwa ka huombi Unakosa haukondi Unasemwa hauchongi Unamengi haubongii Unapesa hauongi Yani nikama hujui unapokwenda kwahyo sehemu ulokuwepo utahisi umefika Nifunzo hii sauti inaposikika so usipuuze babu wanasema hakuna Adui mbaya Kama sifa kafanya watu wengi wameabika nakupata tabu Tulia utapata shavu Usiisshi Kwa kulenga umasikini unafanya mkipewa pesa muone ndo Mnapendwa bro kisichoniua kitanikomaza kiaskari naukinichukia Inadhihirisha mi nimkali mbaya mbaya we jieshimu uheshimiwe ani chuki Nibure labda mngeomba mungu nsizaliwe ila as long as tuko hai kila Kitu yechu we umechelewa kunijua labda ungeniulizia kwetu fupi tamu Amini kwamba inayokera ndefu ishi usimangwe kufa usifiwe shujaa wetu Aa yeh no misheni without vision Pesa haziji Kwa maombi pekee fanya kazi Sometimes nawaza nimekujaje Kwa hiki kizazi cha watoto Wanaojitundikia vitanzi check wanapandishwa wanalega katakei ona Matako wazi nami ndo silazi nachapa kazi nafikri iko wazi wajumbe Ee bwanaa