Dubu!! Ukiona una changa moto We unachanga unga mnatoa dongo Mungu wetu sote hawezi kubali pokea hongo Young killer ni mdogo mungu ni mkubwa Mswahili ni yule atayekosa kampani Hawezi kwenda na muda Why unachana wenzako Umekuwa kiburi haswa siku hizi unadharau umejisahau umekuwa mtata Maana toka damu huku mwanangu umekuwa sasa Nenda kafanye umalaya huku ukila zako bata Na ukipata basi usisahau utokako Ukikosa jifiche uone ni nani atakupa ta Ili uzipate pesa uzwe hustler Maana hazishikiki wanazo viongozi wako ambao kustaafu mpaka wafariki Sijui nitapotezwa na nini Nnachojua kuwa dar hawana udongo wa kunitengeneza mimi Nimezaliwa na cheka furaha tumbo moja na mimi Ni yule mkaa kimya halafu unaponzwa na ulimi Amini, fanikio ilipo maadui wengi Na pasipo na pesa basi hakuna mapenzi So kama haileti hela basi hai-make sense No sweat kisela ukiona natema we meza tenzi Washenzi wanasema anakonda eti mwili unakosa ladha Wakanichome kwa makonda ya kwamba nakula ngada Huwezi jua huenda natumia labda Kwakuwa uchunguzi unaendelea kwahiyo msije kushtuka nkitajwa Brothers wanaongea sana mwisho watazima Hawajui kuwa uwoga ndio kitu nilichonyimwa Ila naogopa ukimwi coz ndo gonjwa lenye heshima Na toka nimebalehe sijabahatika kupima Nyie kima mi sijafunzwa kulelea vitu Mkizingua nawachana kama bifu iwe bifu Usiaminishwe we ni mkali hauna kitu Kubomoa mziki wetu ambao tunahangaika kuujenga kila siku Na hii kitu inanifanya niumie Nnapoona soko linabana wanaojua sana wengi wavulie Na usawa unakaba haswa So inabidi utulie Yani usipigane ukang'ata yaani bora ukimbie Asikwambie mtu kitu babu kuishi na watu tabu Ukipendwa ringa ukichukiwa wewe jipe shavu Sikuhizi hakuna love maisha ni ya kipumbavu Dada zetu wanapewa mimba kisa chips kavu Mdogo wao naulizwa ni lini ntakuwa hero Maana sisomeki kwenye top 10 wala top 0 Uzito ukifika kilo basi mwisho wa kusota Usingizi mbolea ndo maana ukishalala unaota Ushanikosa kaka chaka ulioingia ni kambi ya masoja We kibaka mtumia nguvu kibao akili kisoda Acha uwoga hata hutofika mbali kama kuku Aliyekula mchele jiona na yeye akaliwa na wali Sio madogo tu sikuhizi wanaogopa mpaka wakubwa Hii harufu ya gogo haja nnayotoa hapa ni kubwa Usipoteze muda kula msuba chanja mbuga Naienjoy maisha mungu anipe nini makmuga Nishavurugwa bosi nilipe nisepe Maumivu ya kazi mwisho furaha nipe nicheke Kwa hali ya magufuli nikihonga demu kiepe Ni lazima nimtembeze rugu kwa mledi kipepe Funga bakuli lako we mi sio mchizi wako Nasema chako ni changu, changu hakiwezi kuwa chako Unaforce niwe njia yako, unafanya nicheke Unalazimisha yai la chupa ya chai kulipikia kiepe Tofauti ya mi na wewe mimi na wewe Sasa majungu ya nini mtoto wa kiume mwisho uolewe Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe Sa timu za nini mwisho kaburini unaingia mwenyewe Ukipenda ua basi unapenda na boga Shida kupenda kimoja ni ugonjwa usiokuwa na tiba Kwahiyo ukimpenda diamond unampenda na ali kiba Coz me na wewe ni raha na hawa wote ni shida Zinazofanya tu tugombe ni dawg ndo Mpaka tunachukiana na mwisho tutoane roho Na kujifanya ma-ganster kumbe ndani bishoo Kupandisha mapresha mguu wa shingo na roho We bishoo nani kwake yeye Unachukia nimemdiss joh kuliko hata alivyochukia yeye Naona umetumwa eeh basi utambue mi sio kinyonge Na mwanza hamnirudishi hata kwa kafara la ng'ombe Na sihofii chochote me nafika nitakapo Arusha napita fresh na my brother fidovato Tunapiga mitungi mwendo wa ganja na sato Na ukini-nukuu vibaya ni wewe na mungu wako Ndo naishia hapo