First of all Sina bahati ila poa na isije Kwangu safi kwani siku zote naishije Zingua na upigwe Uaibishwe we sitaki Nikupe moyo maana'ke mimi nife we ubaki Sikusoi haki ile inatesa acheni Nasikia aliyegundua pesa pia alikufa na madeni Sa si ujinga Wa wazi Wa kutumia ngazi chini ya uvungu Wakati hizi surprise kabla hata ya Harmonzie na mzungu Okay shotout to all ma friends to become family Hatufanyi mziki Wa trend na hii ndo kauli mbiu kamili Na ukifahamu hii hushangai hawa pimbi wakinitukana Ni kawaida kama hizi ndoa za wabibi na vijana Nshakuwa sasa maana kupata ni kutumia Tena hali ya sasa hata kwa buku napata bia Hata supu ukitaka pia Wew mchuchu uliyedata sikia Me naishi kirasta japo virasta vya kuzugia Kila sehemu hamuoni kumbe sitaki Ugumu Wa game ndo umefanya Chameleon amekuwa Kalaki So waambieni hawa watoto wakue waache kucheza Nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa inapendeza Oooh green light Unataka hutaki Mkiwaka tunawapa usafi Tuko gudaguda Tena mbele ya wakati Tushapuuza stress hatutaki Hatuna Yeyeyeeee Hatuna Hatuna kesi na yoyoteeee Hakuna superstar bongo leta star wanakunyea Unapgwa dongo unawakataa Kwa shombo wanakupondea Choo cha ubongo kwenye makala za umbea Na huu mjadala hata Kwa mchongo Kwa watu maswala ya kuongea Endelea kupushpush Sio kazi kuuza kush bab Hauwez gushgush Uswazi kuna wazushi mob Town hadi bushbush Uduwanzi haunigusi bab Wahuni tunatustus Hatuhifadhi chuki bab Unatoka chocho chumbaa anaingia kati Dar ya motomoto cha ajabu fire hutumia maji Na roporopo sio haya hujitia ushababi Nyie ni watoto tu mnastahiki Juma Nyoso uwape unandy Mabingwa Wa majungu Na wasiongiza note mifukoni Mbu hapewi sifa Kwa kupigwa kofi mgongoni Hip hop misingi kuifuata ni kutafuta njaa? Nishafeli mara nyingi sijaiacha kukata tamaa Nipo kitaa tu na wahuni suti wanainukisha bangi Mafanikio, ni kama chupi hakikisha hawaijui rangi Usawa ukikaba tunalia Kwa baba Jesca Tunakaza party inajaza hakuna anayetumia pesa