Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea (Gachi B) Si wanapenda kubeng Nyuma na mlima Meru sio kichuguu Na kwa kifua kaka funga vitunguu Mnavyosimamishaga ka stand kuu So akiniambia nikam nakam true Kiuno alisema mama ndo amempatia Na kweli siku za mbuzi kwenye gunia Alivyonipokezana kanirudia Na ile tuzo ya Uber kanitunukia Kabla ya show tunanyonga cha Arusha Zaidi tunawasha music tunajirusha Huku nyagi na whiskey za kujiboosta Si ndo tunaanza kuchafua mashuka Hivi jamani mnaonaje? Sponsor anazingua Mi atanipeleka jela Sponsor anazingua Au kisa ana motokaa Sponsor anazingua Dar ataiona chungu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Sasa kwa kuwa shpupi yangu Ina nane figa (my wangu) Kama kawaida mnyamwezi najiona jiga (my wangu) Kiukweli sponsor simu za usiku ukipiga Mi nakuwaga naye ghetto napiga Na mtatuma pesa mpaka basi Na mkituma tunaenda kuvunjia makabati Au tunanunua mitungi tunagongesha glasi Na simgharami chochote zaidi ya mikasi Pesa yangu mpaka utokee mikeka Leta burger mi naleta mihogo na nacheka Picha yangu siwezi kuifungia mbwa anayebweka Weka baba mi akirudi naweka na analoweka (Ooh my) Hivi jamani mnaonaje? Sponsor anazingua Mi atanipeleka jela Sponsor anazingua Au kisa ana motokaa Sponsor anazingua Dar ataiona chungu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Sponsor niachie my wangu Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea Nimeshatuma na ya kutolea