Kishore Kumar Hits

MABANTU - Sina Shida Nae şarkı sözleri

Sanatçı: MABANTU

albüm: Sina Shida Nae


Yo God Father!!!
Aahhhh maji mazito kuliko dam (si wanapenda kubang!!)
Eti Sikuizi kawa big boss
(SINA SHIDA NAE)
Akitembea bodyguard na chawa
(SINA SHIDA NAE),
Mguu pande twende mguu sawa
(SINA SHIDA NAE)
Mi ni baniani kiatu changu dawa
(SINA SHIDA NAE),
Mimi ni yuleyule sijabadilika
(SINA SHIDA NAE),
Zangu Kvant, Konyagi na Coka
(SINA SHIDA NAE),
Pamba zangu zile zile,
Ni kanzu na Moka,
Nakupa na hii soon,
Mnyamwezi naokoka,
Oyaa wanangu sina shida nae
(SINA SHIDA NAE),
Oya Mie sina shida nae
(SINA SHIDA NAE), .
Eeh kama mnataka kupiga nyie pigeni mie wala sina shida naee
(SINA SHIDA NAE, SINA SHIDA NAE),
Wahuni sina shida nae mii.
(SINA SHIDA NAE), oya mie sina shida nae
(SINA SHIDA NAE),
Hata nkimkuta gesti mi nampa na zana wala sina shida nae mi.
(SINA SHIDA NAE) maamaa.
Uliniacha kisa danga mwenye IST, Ukampost sana huko IG,
Bila kujali si ukatoka na my G,
Kakutafuna sana
Alafu akakutema big G,
Walikogonga sana kwa offer za bia,
Wakati myamwezi nlikuzingatia,
Au ndo vile macho
Huwa hayana pazia, walifunika pesa we nguo ukawafunulia,
Eti Sikuizi kawa big boss
(SINA SHIDA NAE)
Akitembea bodyguard na chawa
(SINA SHIDA NAE),
Mguu pande twende mguu sawa
(SINA SHIDA NAE)
Mi ni baniani kiatu changu dawa
(SINA SHIDA NAE),
Mimi ni yuleyule wala sijabadilika
(SINA SHIDA NAE),
Zangu Kvant, Konyagi na Coka (SINA SHIDA NAE),
Pamba zangu zile zile,
Ni kanzu na Moka
Na nakupa na
Hii soon mi muhuni naokoka
Oyaa wanangu sina shida nae mie
(SINA SHIDA NAE),
Oya wahuni sina shida nae mie.
(SINA SHIDA NAE),
Eeh kama mnataka
Kupiga nyie pigeni
Mie wala sina shida naee
(SINA SHIDA NAE),
Wahuni sina shida nae. .
(SINA SHIDA NAE)
Mie wala sina shida nae,
Hata nikimkuta gesti
Mi nampa na zana
Wala sina shida naee. .
(SINA SHIDA NAE)
Si ulisema mi
Ndo wako wa maisha,
Au gari langu la kitanda
Hali kukufikisha,
Nilikubali utoke
Kidume nlipika dah,
Ukanichoresha sana
Kwa brothers and sisters,
Majirani walisema
Nkasema semeni,
Nikasema nayo nipo ndani
Niacheni,
Kumbe mnyororo
Milupamba uacheni,
Ahhh!!! mi mwenyewe.
Ehh.! Dahh!.!
Oyaa wanangu sina shida nae
(SINA SHIDA NAE),
Oya Mie sina shida nae
(SINA SHIDA NAE), .
Eeh kama mnataka kupiga
Nyie pigeni mie
Wala sina shida naee
(SINA SHIDA NAE),
Wahuni sina shida nae
(SINA SHIDA NAE), mie wala, sina shida nae hata nikimkuta gesti
Mi nampa na zana wala sina shida nae.
TANH, TANH, TANH
TANH TANH TANH
ARANTAA, TATAA Tirooo...
Oyaa wanangu sina shida nae
(SINA SHIDA NAE),
Oya Mie sina shida nae
(SINA SHIDA NAE), .
Eeh kama mnataka kupiga,
Nyie pigeni mie wala sina shida naee
(SINA SHIDA NAE),
Wahuni sina shida nae.
(SINA SHIDA NAE),
Mie wala, sina shida nae
Hata nikimkuta gesti mi nampa na zana wala sina shida nae
(SINA SHIDA NAE), Buchaa
(SINA SHIDA NAE),
(SINA SHIDA NAE),...
Dj ka vipi irudiwe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar