Gachi Yo God Father Si wanapenda kubang Ok Nekesha Club Nakesha Club Nakesha Club Nakesha Club(Gachi b) Nakesha Club Nakesha Club Nakesha Club Nakesha Club Kanee Nakula mtaji tutajuaga keshoo(Nakesha club) Japo pesa ya maji ila nimeitolea jashoo(Nakesha Club) Oya mapenzi konyoo, (konyo) Nimeinua mikono (kono) Kamanzi kangu na my best friend Nimekuta wanakula mdomo kwa mdomoo aya Skia sasa Home kuna huyo nyange maDj kutwa nyimbo za kizungu Sijui anajikuta Jigga (Nakeshaaa) Na kuna jirani anaki-Ben 10 usiku anapelekewa moto Kelele ka kuna msiba (Mmh Fuck) Nakesha Club Daah Leo litakufa jitu(Nakesha Club) Aah mtaniua wee(Nakesha Club) Shiiiii(Nakesha Club) Bad bad bad(Nakesha Club) Baby kaniacha usiku umezidi kuwa mrefu(Nakesha Club) Wenzangu wanaelewa mi nilizama kina kirefu(Na Nakesha Club) Oya wanangu kina (Kinaa) Mwenenu nilizama kina (Kinaa) Nilimpa macho matatu na shoo za kibabe Tatoo nikamchora jina (Jina) Skia sasa Kusema ukweli nilihudumia Ili asipate shida ye akaniona danga (Nakeshaa) Yaani hakunihurumia licha ya kumfungulia duka Mpaka nyuma nikapanga mamaee Nakesha Club Daah leo litakufa jitu(Nakesha Club) Aah mtaniua wee(Nakesha Club) Bado nipo nipo sana mtanikuta kesho(Nakesha Club) Leo kitanda changu ni Counter ntalimiss ghetto(Nakesha Club) Oyaa wanangu ghetto (Ghetto) Nitalimiss ghetto (Ghetto) Hata nikipata bebe tutamaliza toi Wanangu sirudi ghetto (Ghetto) Skia sasa Kuna jirani anajikuta mpenja kutwa dirishani kwangu Makelele ya kandanda (Nakeshaa) Na kuna swala mi sijalipenda Home wamenipa skendo et nauzaga ganja (shit) Nakesha Club Daah Leo litakufa jitu(Nakesha Club) Aah mtaniua wee(Nakesha Club)