Kishore Kumar Hits

Lady Jaydee - Matatizo şarkı sözleri

Sanatçı: Lady Jaydee

albüm: Machozi


Siku nazo zapita
Matatizo yameandama
Kwangu nikama vita
Kila siku nalia maa
Yabidi tufanye kazi
Njia pekee ya kujiokoa
Kwa uzembe atuto weza
Dunia itatuteketeza
Matatitzo kote kote
Mambo yetu yaenda mrama
Fanya kazi sikuzote
Mola tumuombe sala
Bila nguvu zake yeye
Hakuna liendalo sawa
Miaka nayo yapita
Tumaini twa subiri
Ni kweli tutafika.
Ni nani wa kutushauri
Yatubidi tuwajibike
Njia pekee ya kujiokoa
Na uvivu tusijitwike
Dunia itatuteketeza
Matatizo kote kote
Mambo yetu yaenda mrama
Fanya kazi sikuzote
Mola tumuombe sala
Bila nguvu zako wewe
Hakuna liendalo sawa
Matatizo kote kote
Mambo yetu yaenda mrama
Fanya kazi siku zote
Mola tumuombe sala
Bila nguvu zake yeye
Hakuna liendalo sawa
Yabidi tumuombe mola
Ndie pekee wakutuokoa
Kwa uzembe hatuto weza
Dunia itatuteketeza
Matatizo kotekote
Mambo yetu yaenda mrama
Fanya kazi siku zote
Mola tumuombe sana
Bila nguvu zake yeye
Hakuna liendalo sawa
Matatizo kotekote
Mambo yetu yaenda mrama
Fanya kazi siku zote
Mola tumuombe sana
Bila nguvu zake yeye
Hakuna liendalo sawa

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

20

2021 · albüm

Benzer Sanatçılar