Kishore Kumar Hits

Lady Jaydee - Siku Hazigandi Aucostic şarkı sözleri

Sanatçı: Lady Jaydee

albüm: Shukrani


Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema
Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
Nakumbe nimepatikana na mambo ya ajabu
Nia na madhumuni yako nimeshavitambua Siwema kaka
Siwema kaka, ah ah ah
Unajitapa mbele ya rafiki zako
Kwamba mimi sina la kusema mbele yako
Umeniweka kwenye kiganja mama
Unalotaka ndilo ninalofanya
Sababu wewe ni mzuri sana
Siwezi kupata mwingine kama wewe
Siwema kaka, unajidang'anya
Wema wangu ndio ulioniponza
Fadhila zote, kumbe kwako ni bure
Malipo yake, kunifanya mjinga oh ooh
Hayo yote ni makosa yangu
Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa
Najiepusha nawe mama aah
Nimezunguka Tanzania bara
Unguja na Pemba nimefika aah
Nimewaona vijana wenye sifa aah
Wenye kujipamba wakapambika, aah
Nimezunguka Tanzania bara aah
Unguja na Pemba nimefika aah
Nimewaona vijana wenye sifa aah
Wenye kujipamba wakapambika, aah
Kwahiyo nielewe brother
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Sibabaishwi na sura yako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Usifikiri mimi rimbukeni sana
(Aah, sura napenda tabia njema)
Nilikupenda kimapenzi
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Ukaniona mimi sugamami lako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Tabia njema ndio silaha yako
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)
Kila mtu atakupenda kaka
(Sibabaishwi na sura napenda tabia njema)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

20

2021 · albüm

Benzer Sanatçılar