Kishore Kumar Hits

Lady Jaydee - Siku Hazigandi şarkı sözleri

Sanatçı: Lady Jaydee

albüm: Shukrani


Ad lib...
Mmmh. Mmmmh. Mmmh.
Aiya yah yah yah yah yaaah...
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Aih!! Nimesemwa sana jamani, Hamchoki? (speaks out in disgust.)
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Oooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi
Musical Interlude...
Nadhani... Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh mliosema, Aaaah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

20

2021 · albüm

Benzer Sanatçılar