Kishore Kumar Hits

Lady Jaydee - Nasimama şarkı sözleri

Sanatçı: Lady Jaydee

albüm: Woman


Aliyepanga ni maanani,
Shida na riziki zangu,
Aliyezitupa gizani,
Shida na taabu zangu
1.
Nasimama na mola kwa kila jambo nilitendalo,
Maneno ya watu bakora yalinichapa nikaumia,
Lakini machozi machozi niliyolia zamani yashafutika,
Japo simanzi majonzi yamejaa moyoni nikikumbuka...
Nishaambiwa zamani
Kinyago uchongacho hakikutishi ng'o
Ndo maana nasimama na aliyepanga

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

20

2021 · albüm

Benzer Sanatçılar