Kishore Kumar Hits

Baddest 47 - Sir God şarkı sözleri

Sanatçı: Baddest 47

albüm: Sir God


AAHHH
WEE DE
BLAQ
CHAMPION BOY
YEAH AH!
THE MIX
SIR GOD, (GOD) MI' MWANAO SIR GOD
ONA NIMEKOSA KODI, MWENYEWE NYUMBA ATA NIKWIDA CHOGI
AFU SIR GOD, (GOD) KUNA KITU TUKIFOJI
DEMU WANGU NAMCHEAT
VIPI, HATUWEZI TUKAMWONGEZA BODY?
AFU SIR GOD, (GOD) MIE SIMILIKI VOGI
BASI FANYA KAMPANGO NIMILIKI HATA SINAGOGI
OYA SIR GOD, (GOD!) NIMEKIMBIA SANA JOGGING
NIMEPIGA SANA GYM LAKINI KITUMBO HAKITOKI
OYA SIR GOD, (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN) BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI
SIR GOD! (GOD!) HMM, LOVE INA NI EFFECT
KILA CHAKA NALOJARIBU KUTULIA
LINABONYEZA NEXT
SIR GOD, (GOD!) SI UNAMUONA BILL GATES,
FANYA KAMA UNA CONNECT
CHUKUA ZA KWAKE KWANGU PASTE
Sir god (god) teketeza ma snitch
Na pisi zenve bulichi
Zinarudisha nyuma zina filisi
Sir god! (god) nimekimbia sana jogi mmmh
Nimepiga sana gym
Lakini kitumbo hakitoki oya sir god!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar