Kishore Kumar Hits

Baddest 47 - Zagamua şarkı sözleri

Sanatçı: Baddest 47

albüm: Zagamua


Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unaruka matuta
Hivi nami umeskia natembea na mafuta (umeskia)
Kanywa bia za makuruta
Kachezeshwa mashuu kashikishwa ukuta (umeskia)
Hivi hujaskia kwamba nina mihela
Au umeskia umekausha imekukera (umeskia)
Ka unapiga piga kisela
Demu mwenyewe mbovu anabebwa na camera (umeskia)
Hivi hujaskia kwamba si mapopo
Hatuchaguagi sehemu ya kurukaga makopo (umeskia)
Ujana changamoto
Yani nalewa juu chini kunawaka moto (umeskia)
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Unacheka na haujachekeshwa
Upendo wa kweli upo brother mchawi pesa tu (umeskia)
Bila kwikwi bila hata presha
Shemeji analika tatizo lako wenge (kumaanisha nini)
Upo nyonyo niko mbupu
Nilikosa wese ila chupuchupu
Eti chips ndogo kuku nusu
Malaya unajua kukatika au umeme wa luku nyoo
Usitie chumvi kwenye sugar man
Hakuna baridi piga stori vizuri na jirani (umeskia)
Mwaga pesa kama njugu man
Hakuna kibamia inategemea una pesa gani (umeskia)
Wadangaji eeeh mi ndo danga lenu
Mkiweza nichune me ndo buzi lenu
Masela eeeh mi ndo mchizi wenu
Mwagilia moyo bwana siyo shida zenu
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua
Hivi nawe unasikia navyoizagamua

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar