Kishore Kumar Hits

Christian Bella - Wenge şarkı sözleri

Sanatçı: Christian Bella

albüm: Sweet Melody


International
CBO
Maradhi ya mapenzi kupoma ni utata
Bure utapiga mbizi jibu hutopata
Acha kinywa kinywe pombe nipunguze mazonge
Ili muradi nikusahau
Waisha ni ponkonya tonge ni kaishi kinyonge
Nyie mapenzi ya namadharau
Nilizama kwenye mapenzi bila kujua faida na hasara zake
Kumbe kuchomoza kwa mwezi kuzama kwa jua
Kuna tofauti yake
Mapigo ya baridi bila sweater najitutumua
Na ficha siri, kumbe mwenzangu anafichua yani mitaani bambe
Wenge, niende wapi
Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea
Wenge, niende wapi
Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea
Amefungua chemuchemu ya machozi
Kutwa kucha naliae
Naye alifanya kusudi, pendo akanisusia
Na nilizama kwa bahari bila kina kujae
Ghafla wakaja waranguzi penzi wakalilunguae
Najaribu kujitenga maumivu ya pone
Inaniadhibu mpaka natamani upofu nisimuone
Mapigo ya baridi bila sweater najitutumua
Na ficha siri, kumbe mwenzangu anafichua yani mitaani bambe
Wenge, niende wapi
Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea
Wenge, niende wapi
Mwenzenu wenge na changanyikiwa sijui pakuelekea
Christopher, Jonatane Kwete, Amani Luninda, Na Arizona
Patrick Jomali
G.RR
Ah! yeah! yeah!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar