CBO... Mmmh!! uuuuh! yeah!. The Melanin Queen. Mocco. Unapeanda kununa unapenda kuzira kila saa ooh babyy Sio kwamba napenda kununa napenda kuzira kila saa ooh baby yeah Jua upo moyoni mwangu na ingali ingekuwa Moyo ina mlango ningekufunguliaa ungejiangaliaa Upo moyoni mwangu na ingali ingekuwa moyo una Mlango ningekufunguliaa ila ninacho hitaji ndoaa . Ata mi natamani mi natamani ndo ifungwe Tuwalete majiarani na marafiki wote wafikee Mi natamani mi natamani ndoa ifungwe Tuwalete majirani na marafiki ooh! aaah! uyeee Utanioa kweli ama unaniongopea, unanichezea, Aaah! uuuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea, ila ngojeaa Utanioa kweli ama unaniongopea, unanichezea Aah! uuuh! baby ntakuoa kweli sio Kwamba nakuchezea ila ngojeaa (ma sheli) Yananiumiza kichwa maneno yao waimba taarabu wanasema unanichezea, Ukichoka utanikimbia ooooh Maneno yao sio msaafu, Maneno yasilete hitilafu, ukanikimbia mi ntalia ooooh Mmmh e hee Nakupenda nawewe wanipenda hasa kwanini hutaki ndoaa Uuuh huuuuu nakupenda najua unanipenda piaa usijali ntakuoaaa Ata mi natamani mi natamani ndoa ifungwe Tuwalete majirani na marafiki wote wafikee Mi natamani mi natamani ndoa ifungwe Tuwalete majirani na marafiki ooh! aaah! uyeee Utanioa kweli ama unaniongopea unanichezea Aah! uuh! baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea ila ngojeaa Utanioa kweli ama unaniongopea unanichezea Aaah! uuuh! Baby ntakuoa kweli sio kwamba nakuchezea ila ngojea sheli eeh Mocco G... Imagination sound.