Yeah (okei) Shorii let me talk to you (S2kizz bebii) Nisipokula nawe huu mkwanja Santakula nanani sinaga huo ujanja kwako Mijengo sio tena kibanda Awali side chicks walishasanda kwako Kula ndizi bila maganda Muhanga mi nishajitoa kitambo si kazi kwako Kwamungu na sikwa mganga Njo tupige goti baraka zimetanda hapo Nisipokupenda wewe ntampenda nani mmh Leo kazi sina nina kazi nyumbani eeeh eeh Nitapika ule wangu mwandani mmh Mmh na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama ooh aah Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah Tell me something Tell me something Tell me something Tell me something baiby Naacha mambo yote mana najisikia mfalme mjini Unanipa vitu vingi ata sijui nikupe nini Tunamali tuna mungu na pia tunania Tunaishi ndoto zetu wakitushuhudia Naunanifaa moyoni umenikaa kama nini? Pale najikwaa maa huniachi niende chini ooh aah Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh bebe Lushoto milimani usijali kwani pesa kitu gani ooh yeah Tell me something (niambie kitu nambie kitu) Tell me something (niambie kitu nambie kitu) Tell me something (niambie kitu nambie kitu) Tell me something bebii Twende ...(twende) Twende ...(twende) Twende ...(twende) Twende ...(twende)