Elly Piano Ahh Unaweza kupenda, tena bila sababu Ndio maana sijutii, kukutana na wewe Mapenzi ni kitambo, toka enzi za mababu Ndio maana sijutii, kukutana na wewe Upofu wako sio tatizo Uwepo wako kwenye matatizo Aaah! Tabia zako ooh jinsi ulivo Huruma wako ooh, baby Nywele zako, baby, Sura yako Kucha zako mama, Rangi yako Mwendo wako, darling, Shepu yako Zinanibamba wewe Pozi zako, Mama, Maringo yako Unanidatisha michezo yako Kiuno chako unaweza, Eeeh Natamani ungejiona Jinsi ulivyo mrembo Ungeona mama Jinsi ulivyo mrembo Natamani ungejiona Jinsi ulivyo mrembo Wewe ni mzuri Jinsi ulivyo mrembo Kuna muda unatamani, unipikie chakula, Kibaya hauwezi Kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa, Kibaya hauwezi Kuna muda unatamani tutazame wote muvi, kibaya hauwezi Kuna muda unatamani uione sura yangu, Kibaya hauwezi Siwezi kuacha njiani, We ndio wangu maishani Na wengine sitamani, Hata kama hauoni We ndio wangu daily, Wengine sitamani Unanipa raha tele, Umenikaa moyoni Ahh! Aaah! Eeeh Nywele zako, baby, Sura yako Kucha zako mama, Rangi yako Mwendo wako, darling, Shepu yako Zinanibamba wewe Aaah! Pozi zako, Mama, Maringo yako Unanidatisha michezo yako Kiuno chako unaweza, Eeeh Natamani ungejiona Jinsi ulivyo mrembo (No No) Ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo Ahh Weee ni mzuriii Jinsi ulivyo mrembo Aaah! Aaah! Jinsi ulivyo mamaa Jinsi ulivyo mrembo Your love and me Nafurahia Your love and me We ni mzurii Your love and me Nafurahia Your love and me Nafurahiaaaa