Mbona kama chama pinzani Kila siku matatizo Inaniathiri ndani kwa ndani (aaah) Naikosa chanjo (oooh) Acha visa na sononeko la moyo Usingizi sipati Kisa kwako sina maamuzi Mdomo koma Umenipa upofu wa moyo Jicho la nazi mama Kwako sioni Nimeshika makali mpini wewe Nasema sawa sawa (eeeh) Unikate vipande vipande Mama sawa sawa (uuuuuh) Huishiwi kisirani Yani kila muda umenuna Sasa mimi ntaongea na nani (aah) I wish ungejua inavyouma Yani bora nilewe Usingizi sipati Kisa kwako sina maamuzi Mdomo koma Umenipa upofu wa moyo Jicho la nazi mama Kwako sioni (eeiyee) Nimeshika makali mpini wewe Nasema sawa sawa (sawa sawa eeeh) Unikate vipande vipande (oh) Mama sawa sawa (sawa sawa uuh) Nimeshika makali mpini wewe (eeeiyeee) Nasema sawa sawa (sawa sawa eeeh) Unikate vipande vipande Mama sawa sawa (uuuuuh)