Kishore Kumar Hits

Jux - Simuachi şarkı sözleri

Sanatçı: Jux

albüm: King of Hearts


Mmmh yeeah
Nina kila sababu ya kuwa na yeye
Kwake kichanga nabembelezwa na yeye
Kwake ustaarabu, nini nipewe (eeh)
Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe
Sasa mapema
Narudi nyumbani
Vitu navikuta mezani
Siri siri vya mtaani mwenzenu (kwa sasa)
Mawe nipigeni
Maneno nisemeni (oooh)
Vikao vikaeni
Huyu mtoto simuachi (simuachi)
Mawe nipigeni (hata mniue)
Maneno nisemeni (naridhika mie)
Vikao vikaeni
Huyu mtoto simuachi (heeh heeyah!)
Oooh oooh oooh oooh
Oooh oooh oooh oooh
Wa nini, ung'adung'adu kufukuza mende
Ya nini, kuwa waruwaru nikuumize uende
Kwanini, niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge
Niamini, nawe usije pata bichwa ukaota mapembe
Sababu wewe mzuri umepitiliza
Penzi lako mi linaniliza
Mawe nipigeni (nipigeni)
Maneno nisemeni (oooooh)
Vikao vikaeni
Huyu mtoto simuachi (simuachi)
Mawe nipigeni (hata mniue)
Maneno nisemeni (yeeh yeeh yeeeh)
Vikao vikaeni
Huyu mtoto simuachi (eeh yaah!)
Oooh oooh oooh oooh
Oooh oooh oooh oooh (oooh oooh aaah aaah)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar