Ona wamefanikiwa Kututengansiha mimi na wewe heh Yote uliyoambiwa Yamekupotosha mpaka sasa hunipendi Jua langu limepotea Naona giza ingawa mchana ah Ukiwa mbali sijazoea My sweety Stella mah nataka urudi home Mapenzi ya holeholela Nimechorea Nipe chansi nirudi kwako Tukiwatch telenovela Zinanichocha natamani urudi home Mwoyoni mwako we Mikononi mwako eh eh Moyoni mwako we nifungulie roho Mwoyoni mwako we Mikononi mwako eh eh Moyoni mwako we nifungulie roho Moyoni mwako we nifungulie roho Moyoni mwako we nifungulie roho Mbonaaa hukutosheka Kila ulipewa ulisema ni kidoogo While I gave you all I had Ndio maana sielewi Mbona you're leaving me alone Nimejaribu kukuelezea Kila unasema nasema tu uongo Aloniroga naomba tuongee sasa My sweety stella mah Nataka urudi home Mapenzi ya holeholela Nimechorea Nipe chansi nirudi kwako Tukiwatch telenovela Zinanichocha natamani urudi home Mwoyoni mwako we Mikononi mwako eh eh Moyoni mwako we nifungulie roho Mwoyoni mwako we Mikononi mwako eh eh Moyoni mwako we nifungulie roho Moyoni mwako we nifungulie roho Moyoni mwako we nifungulie roho