Umekuwa ukizusha Ati kwamba mimi nakucheza Hata simu zangu nikipiga huchukuwi Nashindwa ni nini mbaya nimefanya Wenye nia mbaya Hakika hawataki kutupa amani Mambo yao nikubuni hali ya sitofahamu Ili mwisho unichukiye Saa zingine mimi uhisi nishike mtu mashati Na nianze vita Bahati mzuri Mimi si aina mtu wa ugomvi My baby nimeumbwa tu nikubembeleze Ili moyo wako unirudiye Ndiyo sababu nakupa aka kawimbo (nakupenda) Chote unataka minitatenda Nakupenda mpenzi wangu wacha wasi wasi Ndiyo sababu nakupa aka kawimbo (nakupenda) Chote unataka minitatenda Usiwe na wasi wasi mpenzi (nakupenda) Mpenzi wangu wacha wasi wasi Inasikitisha sana Haya mambo yakutuchonganisha Yaani mtu mzima mwenye akili timamu Anaweza aje kuwa mdaku kiyasi hicho Nimepakwa tope kwa kuwekelewa thambi zote Wengine hutaka nisulubiwe msalabani wapenzi lako Wachana nao Wamejawa na wivu kwa roho zao Ma baby nimeumbwa tu nikufurahishe Mambo mengine yote ni upuuzi kwangu Hakikisho kutoka kwangu baby (nakupenda) Chote unataka minitatenda Sihitaji bunge kuni tetea (nakupenda) Wala bunge la seneti Mpenzi wangu wacha wasi wasi Sihitaji mtu wa kuni tetea (nakupenda) Chote unataka minitatenda Take it from me, take it from me (nakupenda) Mpenzi wangu wacha wasi wasi Sihitaji bunge kuni tetea Ohh ohh Hakikisho kutoka kwangu (kwangu) Hili ni hakikisho Nasema hili ni hakikisho ooh (nakupenda) Chote unataka minitatenda Chote unataka minitatenda(nakupenda) Take it from me, take it from me Mpenzi wangu wacha wasiwasi Take it from me, take it from me (nakupenda) Chote unataka minitatenda(nakupenda) Mpenzi wangu wacha wasi wasi