Kishore Kumar Hits

Kidum Kibido - Ndani şarkı sözleri

Sanatçı: Kidum Kibido

albüm: Ndani


Uuuh my baby
Unanipa mateso kwa mienendo zako
Nikikutafuta naumwa sana sababu ju sikupati
Saa zingine unazima simu yako siku nzima
Najipata niko katika hali ya kusumbuka
Nakuona ukiwa tu online ukichata na watu
Wengine ila ni
Kwa mawazo nini basi unataka mimi nifanye
Sema tuh neno majo
Kama uko ndani aman je
Nijue la kufanya nisipoteze muda
Kujaaa
Usiniwache nisipofahamu
Mapenzi siyoo mchezo wa slasa
Kama tunapendana
Kama tunape ndani
Kama tunapendana
Kama tunapendani
Ndani ndani

Kwaka juzi
Niliona ukibebwa kwa gari kubwa
Na kila mumefunga vioo vya gari
Bado niliweza kukuona ukitabasamu
Ningependa unieleze ukweli
Ni nini nafaa kukufanya
Nione tabasamu lako
Niweze kukufurahisha
Unalipa mawazo
Nahisi nikiwa kwa mateso
Unanifanya kwa nikonde
Wanashindwa ni nini mbaya na mimi
Usiniwache nisipofahamu
Mapenzi siyoo mchezo wa slasa
Kama tunapendana
Kama tunape ndani
Kama tunapendana
Kama tunapendani

Usiniwache nisipofahamu
Mapenzi siyoo mchezo wa slasa
Kama tunapendana
Kama tunapendani
Kama tunapendana
Kama tunapendani

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar