Kishore Kumar Hits

Mercy Masika - Mkono Wa Bwana şarkı sözleri

Sanatçı: Mercy Masika

albüm: Mwema


Ooh, (Still Alive)
Uuh
La la la la la la la la
Umeomba sana, aah
Umehangaika sana
Umengoja sana ila majibu huoni
Nyuma mbele kwa marafiki hutoshi, eeh
Usife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh)
Ana mpango mwema juu yako
Usife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh)
Ana mpango mwema juu yako
Hakika mkono wa Bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa Bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia, aah
Uh, yeah
Ahadi zake ni kweli
Njia zake sio kama mwanadamu
Akili zake ziko juu (ziko juu)
Atufikii, sisi wanadamu
Tulia, aah
Tulia na Baba
Tusife moyo Mungu hayuko busy (hayuko busy, eeh)
Ana mipango mema juu yetu (oh, uh)
Tusife moyo Mungu hayuko busy, eh eeh
Ana mipango mema juu yetu
Hakika mkono wa Bwana si mfupi, eh
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa Bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Si zito, si zito
Ooh, mwamini Yesu wee
Uuh
Halelluya ni mwaminifu, eeh ooh
Hakika mkono wa Bwana si mfupi, (si mfupi)
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa Bwana si mfupi (Halelluya)
Wala sikio lake si zito kusikia
Mkono wa Bwana si mfupi, (eeh)
Wala sikio lake si zito kusikia (atatenda miijuza kwa ajili yako)
Mkono wa Bwana si mfupi
Wala sikio lake si zito kusikia
Ooh, eeh
Mkono wa Mungu si mfupi, eeh
(Still Alive)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar