Kishore Kumar Hits

Alikiba - Infidèle - Live Version şarkı sözleri

Sanatçı: Alikiba

albüm: Infidèle (Live Version)


Ilibidi tu nijiongeze, Niliisha
Pia bora nijipongeze, Naonayamekwisha
Lakini uliniweza maskini, Uliniweza mie ukanijua
Nilipungua sana Bwana, Ninatubu mnanicheka
Ukantawala moyo ukauchukua, Bila aibu ukanitesa
Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
Bora nikuache we uende, Nami niende
Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge
Bora uende, Nami niende
Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge ah aah

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar