Asa mambo bado, King's iko gado Cheza utavyo, Mashuti kama Ronaldo Wenye kulewa wapo kwado, mziki upo kwa rohoo Najionaga komando ukonga sasa ipo juu We unachezaje (Ndombolo) Inama inuka (Ndombolo) Usivunje mgogongo (Ndombolo) Ndo ndo (Ndombolo) Ndombolo ya solo Kwani we unachezaje Hii ngoma hamkai Oh Mamaamm anachea ndombolo Tena kainama, itatoka tomorrow Domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja) Nabwabwaja (nabwabwaja) Mimi nabwabwaja (nabwabwaja) Domo zito mimi nabwabwaja (nabwabwaja) Mimi nabwabwaja (nabwabwaja) We unachezaje (Ndombolo) Inama inuka (Ndombolo) Usivunje mgogongo (Ndombolo) Ndo ndo (Ndombolo) Ndombolo ya solo Kwani we unachezaje Hii ngoma hamkai Baby you my girl, oh baby youre girl Baby nipe more nilishaojeshwa nipe more Wanirusha roho, umeshinda ume-win ee Unipa uchoki najiuliza wewe mtu au mashinee We unachezaje (Ndombolo) Inama inuka (Ndombolo) Usivunje mgogongo (Ndombolo) Ndo ndo (Ndombolo) Ndombolo ya solo Kwani we unachezaje Toa umandee Hii ngoma hamkai