Yoo ♪ (Yogo on the Beats) My gal we' ni matata, body matata mbaya, eh-eh Bwana mdogo umenikamata, unanicheza kama karata, eh-ya Tulikutana kule Cape-Cape Town mpaka Accra Town dowtown, eh-eh Eti una sifa za kudanga na mengi wanasema sijaona! Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara Ndege wanashangilia Na nitakupeleka ulaya Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara Ndege wanashangilia Na nitakupeleka ulaya Wakiniona wananiita (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Hawajui ninachofanya mi' (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Nikitema unashiba (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Kilimanjaro napanda mi'e (Bwa' mdogo) Bado bwana mdogo (Bwa' mdogo) ♪ Mm, yeah-ay Yeah-yeah-yeah, yeah-ay Boom Baby. this people no gonna let me vex make a bass gone For my baby girl I no go calm down This is we loving, my love is just for fun So Mr. Eta Mahn, make her just shine Sweet lover you got a text From your lover man, he more caress, yah See you later under red dress Bedroom bully girl, me wanna undress (Jogodo) girl dem alingo me no go send dem (Mbololo) anybody hating girl no go friend dem (Jogodo) make use this love will offend dem (Mbololo) if dem no send us we no go send dem, ooh Baby girl just run to me now I'm your lover you give it to me now Alikiba, Patoranking you know Way say Wakiniona wananiita (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Hawajui ninachofanya mi' (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Nikitema unashiba (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Kilimanjaro napanda mi'e (Bwa' mdogo) Bado bwana mdogo (Bwa' mdogo) Way say ♪ Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara Ndege wanashangilia Na nitakupeleka ulaya Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara Ndege wanashangilia Na nitakupeleka ulaya Wakiniona wananiita (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Hawajui ninachofanya mi' (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Nikitema unashiba (Bwa' mdogo) Bwana mdogo (Bwa' mdogo) Kilimanjaro napanda mi'e (Bwa' mdogo) Bado bwana mdogo (Bwa' mdogo)